![]() |
@*Imehifadhiwa* Ndio Kuna dawa za kupunguza makali ya maambukizi ya UKIMWI, zinapatikana Hospital Na unatakiwa kujua una aina gani ya MAAMBUKIZI Utatumia dàwa kulingana na aina ya virus 2023-04-19 ![]() |
![]() |
@*Imehifadhiwa* Nikweli kuna dawa za kupunguza makali ya virus sio kutibu ukimwi kwa maoni yangu 2021-07-11 ![]() |
![]() |
@*Imehifadhiwa* Ndio Kuna dawa za kupunguza makali ya maambukizi ya UKIMWI, zinapatikana Hospitalini. 2021-07-06 ![]() |