×

Ingia Jamii Dashibodi
×

Jisajili Jamii Dashibodi

Jamii Dashibodi Elimika, Fanya Maamuzi Sahihi.


 • Je! Hauja Jisajili?, Jisajili Hapa
 • Jamii Dashibodi: Jukwaa rafiki la vijana lenye nyenzo za kujifunza, tathimini, majadiliano, rufaa na maoni kuhusu elimu na huduma za Afya ya Uzazi pamoja na VVU/UKIMWI.
 • Elimika: Jitathimini mwenyewe au marafiki na uboreshe uelewa, mitazamo na matendo yako juu ya masuala yanayohusu Afya ya Uzazi pamoja na VVU/UKIMWI huku ukishirikiana na marafiki, wazazi na washauri katika jamii.
 • Fanya maamuzi sahihi: Tumia data zilizowasilishwa kwa urahisi kwenye dashibodi zinazoelezea hali ya uelewa, mitazamo na matendo ya vijana katika jamii yako juu ya masuala yanayohusu Afya ya Uzazi pamoja na VVU/UKIMWI.
 • Data kuhusu Afya ya Uzazi na VVU/UKIMWI kwa Vijana

  Angalia data zilizowasilishwa kwa urahisi kwenye dashibodi zinazoelezea hali ya uelewa, mitazamo na matendo ya vijana katika jamii juu ya masuala yanayohusu Afya ya Uzazi pamoja na VVU/UKIMWI.
 • 60.75%

  Uelewa

  60.75% ya washiriki wa 'Jitambue challenge' wanaonyesha wana uelewa juu ya njia za kuzuia VVU/UKIMWI, Upimaji na Matibabu.
 • 78.05%

  Matendo

  78.05% ya washiriki wa 'Jitambue challenge' wanaonyesha wana matendo yasio hatarishi juu ya njia za kuzuia VVU/UKIMWI, Upimaji na Matibabu.
 • 76.17%

  Mitazamo

  76.17% ya washiriki wa 'Jitambue challenge' wanaonyesha wana Mitazamo chanya juu ya njia za kuzuia VVU/UKIMWI, Upimaji na Matibabu.
 • Jitambue App

  Jitambue App ni Jukwaa rafiki linaloruhusu vijana na wazazi kujifunza, kujitathimini, kujadiliana, kupata rufaa na kutoa maoni kuhusu uelewa, matendo na mitazamo juu ya elimu na huduma za Afya ya Uzazi pamoja na VVU/UKIMWI katika jamii. Jiunge sasa.
Washirika wetu
Tunathamini michango na msaada kutoka kwa washirika wetu
Ungana na Sisi Kuhusu Jamii Dashibodi Wasiliana Nasi
Matukio jamii.dashibodi@gmail.com
Wageni Leo : 16
Jana : 67
Kwa Wiki : 498
Kwa Mwezi : 2,014
Jumla : 61,606
Jukwaa + 255 (0) 719 931 793


Hakimiliki © 2022 Jamii Dashibodi (Ditra Consulting) | Mfumo umetengenezwa na FingerPrint - TANZANIA.