Jamii Dashibodi Elimika, Fanya Maamuzi Sahihi.


ARV
Nimesikia kuna dawa za kupunguza makali ya virusi vya UKIMWI. Je dawa hizo zinafanyaje kazi? na mtu akitumia hizo dawa atapona kabisa au inakuwaje? Naomba ufafanuzi
2020-11-29 - @conso04
>> Maoni

@*Imehifadhiwa*
Nikweli kuna dawa za kupunguza makali ya virus sio kutibu ukimwi kwa maoni yangu
2021-07-11 3 Likes
@*Imehifadhiwa*
Ndio Kuna dawa za kupunguza makali ya maambukizi ya UKIMWI, zinapatikana Hospitalini.
2021-07-06 1 Likes

Ungana na Sisi Kuhusu Jamii Dashibodi Wasiliana Nasi
Matukio jamii.dashibodi@gmail.com
Wageni Leo : 47
Jana : 64
Kwa Wiki : 525
Kwa Mwezi : 1,987
Jumla : 49,843
Jukwaa + 255 (0) 719 931 793


Hakimiliki © 2022 Jamii Dashibodi (Ditra Consulting) | Mfumo umetengenezwa na FingerPrint - TANZANIA.